Ngoma Mpya : KING MAGENHIRO 'VIRUS WA NYIMBO ZA ASILI' - MATESO KWA WATOTO

RafaeltheJournalist.com
1 hour ago

Msanii wa Nyimbo za asili anayekuja kwa kasi Magenhiro maarufu Virus wa Nyimbo za asili Tanzania 'King Magenhiro' kutoka Shinyanga ameachia wimbo mpya kuhusu Haki za Watoto alioupa jina la 'Mateso kwa watoto' 

Katika wimbo huu uliotengenezwa na Director Manyero wa Manyero Records, Magenhiro anakemea tabia ya kutupa na kutelekeza watoto wachanga. Kazungumzia pia kuhusu tabia za udangaji na ugumba.

 Sikiliza wimbo huu hapa chini

Comments

Popular posts from this blog

PAPA MSOFE AFUTIWA MASHTAKA, AACHIWA HURU

The Ugandan Mixed School Where Boys Wear 'Skirts'