RAIS SAMIA KUSHIRIKI MKUTANO WA SADC NCHINI MALAWI LEO AGOSTI 17

𝙪𝙨𝙞𝙨𝙖𝙝𝙖𝙪 𝙛𝙤𝙡𝙡𝙤𝙬, 𝙣𝙖 𝙩𝙤𝙖 𝙘𝙤𝙢𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙮𝙖𝙠𝙤:

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu Lilongwe nchini Malawi kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa 41wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) unaotarajiwa kuanza leo tarehe 17  na kumallizika hapo kesho tarehe 18 nchini Malawi. PICHA NA IKULU




Comments

Popular posts from this blog

PAPA MSOFE AFUTIWA MASHTAKA, AACHIWA HURU

The Ugandan Mixed School Where Boys Wear 'Skirts'

Kongamano Kongamano Kongamano