Video : NICKSON KISINGA - KUNA MJI


13 hours ago

Mwimbaji wa Nyimbo za Injili Nickson Kisinga ameachia Video Mpya iitwayo 'Kuna Mji' . Karibu usikilize Muziki mtamu unaotukumbusha mji mzuri wa Mbinguni. Ubarikiwe na wimbo huu!

Comments

Popular posts from this blog

Amuuwa mke wake na kujaribu kujiua kisa wivu wa mapenzi

PAPA MSOFE AFUTIWA MASHTAKA, AACHIWA HURU

Ardhi ni Mali ya Nani? Prof. Issa Shivji amwandikia Rais Samia