Ardhi ni Mali ya Nani? Prof. Issa Shivji amwandikia Rais Samia
Prof. Issa Shivji |
Kufuatia suala la wamasai kuhamishwa katika eneo la hifadhi ya ngorongoro Prof. Issa Shivji amemuandikia Rais Samia barua ya Wazi huku akieleza na kufafanua Sheria ya Ardhi.
Pia amehitimisha kwa kusema Watu wa Ngorongoro na Loliondo hawawezi kuhamishwa bila kufuata taratibu za Kisheria na kwa sababu Mahususi itakayo wekwa wazi na Kujadiliwa.
"Bila uhuru hakuna maendeleo. Bila maendeleo hakuna uhuru. Maendeleo ya kulazimishwa ni udikteta. Maendeleo ya hiari ni demokrasia." Prof. Issa Shivji
Written by Rafael Masau
Comments