𝙪𝙨𝙞𝙨𝙖𝙝𝙖𝙪 𝙛𝙤𝙡𝙡𝙤𝙬, 𝙣𝙖 𝙩𝙤𝙖 𝙘𝙤𝙢𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙮𝙖𝙠𝙤: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama akitoa hotuba fupi wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa uratibu na ufuatiliaji wa shughuli za Serikali (DashBoard) iliyofanyika leo Agosti 16, 2021 Jijini Dodoma. Sehemu ya Viongozi wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia maswala ya Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (hayupo pichani) wakati wa uzinduzi wa Mfumo wa Kielektroniki wa uratibu na ufuatiliaji wa shughuli za Serikali (DashBoard), Jijini Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akizindua rasmi Mfumo wa Kielektroniki wa uratibu na ufuatiliaji wa shughuli za Serikali (DashBoard) Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara ya Fedha na Mip...