DC Awaka: Sasa Mtajua Kama Wahehe Bado Tunajiua au Tunauaga Wengine
𝙪𝙨𝙞𝙨𝙖𝙝𝙖𝙪 𝙛𝙤𝙡𝙡𝙤𝙬, 𝙣𝙖 𝙩𝙤𝙖 𝙘𝙤𝙢𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙮𝙖𝙠𝙤:
MKUU wa Wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, Senyi Nganga amewaacha watu hoi wakati akitoa maagizo kuhusu kusimamia pesa za miradi mbalimbali katika wilaya hiyo
mkuu wa wilaya huyo amesema kuwa anahitaji watumishi wa umma wafanye kazi kwa juhudi zote pasipo udanganyifu wa aina yoyote ile.
lakini pia ameongeza kwa kutoa onyo kuwa kwa mtumishi yeyote asiyefanya kazi kama inavyotakiwa atakabiliana naye kwelikweli
“Sasa mtajua kama Wahehe bado tunajiua au siku hizi tunauaga wengine…🤣”
Comments