Posts

Showing posts from November, 2021

Pole Pole Amjibu Nape Nauye "Kwani Nimemtaja Mtu au Ndio Wahuni Wenyewe"

Image
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇 "Juzi nimesema kuhusu wahuni tena nikafafanua wahuni ni wakwepa kodi,wapiga dili,wala rushwa,sasa kuna watu wananichukia kwani nimemtaja mtu? au ndio wahuni wenyewe!" amesema Humphrey Polepole.

Ushauri Fasaha Kuhusu Fedha Kwa Wanandoa Nov 28, 2021.

Image
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇 Habari za muda huu mdau na mfuatiliaji wa makala mbalimbali kutoka hapa ,  kwa heshima na taadhima naomba nikualike rasmi hapa jamvini ili niweze kusema na wewe mwanandoa juu ya elimu na matumizi ya fedha pindi muwapo ndoani. Nataka niseme na wewe kuhusu matumizi ya pesa kwenye suala la ndoa kwa sababu miongoni mwa migogoro mingi ya wanandoa wengi chanzo chake kikubwa huwa ni fedha. Wengi wao wamekuwa hawana ushirikiano mzuri kuhusu namna ya kupata na namna ya kuzitumia pesa hasa wawapo ndoani. Hili lipo wazi kwamba mwanaume ndiye kichwa cha familia, pesa anazotafuta mwanaume ndizo zitakazosaidia kutatua matatizo ya familia, ila pesa anazotafuta mwanamke basi hizo ni zake. Kwa misingi hiyo siku mwanaume akimwambia mkewe hana hela, basi katika familia hiyo hapatakalika, hii ni kwa sababu ya ushirikiano finyu juu ya elimu sahihi ya pesa kwa wanandoa. Hivyo ili kuweze kuwa na maelewano sahihi kwa wanando...

Maadhimisho ya Siku 16 za Kupinga Ukatili wa Kijinsia

Image
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇 Na Dotto Kwilasa. Hii ni Kampeni ya Kimataifa ya kila mwaka inayoanza Novemba 25 ambayo ni Siku ya Kimataifa ya Kupinga Ukatili dhidi ya Wanawake na kuhitimishwa Siku ya Kimataifa ya Haki za Binadamu, Desemba 10 Inalenga kuhamasisha Raia na Mashirika duniani kote kupaza sauti kuhusu kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Wasichana ===== The 16 Days of Activism against Gender-Based Violence is an annual international campaign that kicks off on 25 November, the International Day for the Elimination of Violence against Women, and runs until 10 December, Human Rights Day. It was started by activists at the inaugural Women’s Global Leadership Institute in 1991 and continues to be coordinated each year by the Center for Women’s Global Leadership. It is used as an organizing strategy by individuals and organizations around the world to call for the prevention and elimination of violence against women and girls....

Namna unavyoweza kuishi katika Ulimwengu wa wakatishaji tamaa

Image
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇  Dunia ya leo imejaa maneno mengi kuliko watu waliopo katika dnia hiyo. Hebu fikiria ya kwamba tafiti za wanasaikolojia zinasema ya kwamba, mwanaume huzungumza maneno 16000 kwa siku, wakati wanaweke wote duniani kwa kila mmoja mmoja huzungumza maneno 25000 kwa siku, kwa tafiti hizi najaribu kuwaza hivi tuna watu wangapi? Na kila mmoja akizungumza maneno yake tutakuwa na maneno mangapi? Najaribu tu kuwaza kwa sauti ili ujue ni kwa jinsi gani maneno yalivyozidi idadi ya watu. Nasema hayo kwa sababu katika maisha yetu ya kila siku tumekuwa tukiishi katika ulimwengu wa kusema na kusikia. Na katika kusema wapo wale ambao huzungumza mambo chanya na wapo wale ambao huzungumza mambo hasi. Na katika kusikia ipo hivyohivyo sawa na kusema. Hata hivyo maneno ya watu ambayo yapo katika dunia hii ni yale ambayo yanatengeneza ulimwengu mpya, ulimwengu huo huitwa ulimwengu wa taarifa, katika ulimwengu huo yapo mengi ...

Mauaji Mbezi: Afisa Mtendaji Achinjwa Akiwa Ofisini kwake oct 13, 2021

Image
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇   Mauaji ya kutisha yametokea eneo la Mbezi Msumi mkoani Dar es Salaam baada ya watu wasiofahamika kudaiwa kuvamia ofisi za Serikali ya Mtaa wa eneo hilo na kisha kumuua Ofisa Mtendaji kwa kumkata na panga. Tukio hilo la mauaji limetokea leo Oktoba 11, 2021 kati ya saa sita hadi saa saba mchana wa leo na inadaiwa ofisa huyo mtendaji wa Serikali ya Mtaa wa Mbezi Msumi Jijini Dar es salam ameshambuliwa kwa kukatwa na panga shingoni na watu ambao hawafahamiki. Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za mauaji ya mtendaji wa mtaa wa Mbezi Msumi, aliyejulikana kwa jina la Kelvin Costa Mowo (38), wakati akitekeleza majukumu yake ya kusikiliza wananchi ambao walikuwa na mgogoro wa ardhi. Kelvin aliuawa dunia jana Jumatatu, Oktoba 11, 2021 majira ya saa 5:54 baada ya watu wasiojulikana kumvamia ofisini na kuanza kumshambulia kwa mapanga mpaka kusababisha kifo chake...