Katika Blog hii Utapata habari zote ndani na nje ya nchi
Pole Pole Amjibu Nape Nauye "Kwani Nimemtaja Mtu au Ndio Wahuni Wenyewe"
Get link
Facebook
X
Pinterest
Email
Other Apps
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇
"Juzi nimesema kuhusu wahuni tena nikafafanua wahuni ni wakwepa kodi,wapiga dili,wala rushwa,sasa kuna watu wananichukia kwani nimemtaja mtu? au ndio wahuni wenyewe!" amesema Humphrey Polepole.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Juni 18, 2021 imemfutia mashtaka na kumwachia huru mfanyabiashara Marijan Msofe (53) maarufu Papa Msofe na wenzake wanne. Hatua hiyo inatokana na Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) kuwasilisha hati mahakamani hapo akieleza kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo dhidi ya washtakiwa hao. Msofe na wenzake walikuwa wanakabiliwa wa mashtaka matano likiwemo la kujipatia Sh943 milioni kwa njia ya udanganyifu. Mbali na Papa Msofe, washtakiwa wengine katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 124/2019 ni Wenceslaus Mtu(49), Mwesigwa Mhingo (36), Josephine Haule (38) na Fadhil Mganga (61). Uamuzi wa kuwafutia kesi hiyo na kuwaachia huru washtakiwa hao umetolewa Hakimu Mkazi Mkuu wa Mahakama hiyo, Huruma Shaidi wakati kesi hiyo ilipoitwa kwa ajili ya kutajwa. Awali, wakili wa Serikali mwandamizi, Wankyo Simon amedai kuwa DPP ameieleza mahakama hiyo kuwa hana nia ya kuendelea na shauri hilo. Baada ya upande mashtaka kueleza hiyo, Shaidi alikubaliana na o...
𝐅𝐎𝐋𝐋𝐎𝐖 𝐏𝐀𝐆𝐄 𝐍𝐀 𝐓𝐎𝐀 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐄𝐍𝐓 𝐘𝐀𝐊𝐎 𝐇𝐀𝐏𝐎 𝐂𝐇𝐈𝐍𝐈👇👇 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema amewataka viongozi mbalimbali wa serikali kwenda kutumikia wananchi kuleta maendeleo huku akisisitiza kuwa hatarajii kuona mkuu wa mkoa anakuwa mla rushwa na kugeuka Miungu watu. Rais Samia ameyasema hayo leo Jumatatu Oktoba 11,2021 wakati akiwaapisha viongozi mbalimbali aliowateua hivi karibuni akiwemo Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga Mhe. Sophia Mjema. “Uongozi ni dhamana siyo zawadi..tunategemea viongozi mtakuwa mfano, sitegemei kuona mkuu wa mkoa anaingia kwenye vitendo vya rushwa, sitegemei kuona wakuu wa mikoa mnakuwa Miungu watu huko mliko, mpo kule kutumikia watu, siyo watu wawatumikie nyie. Naomba mkafanye kazi tulizowatuma,” amesema Rais Samia. “Samia Suluhu ninakotoka hakuna makabila, mimi sina kabila, mwalimu Nyerere hakuwa na kabila.. kwenye utendaji wangu wa kazi ukilikoroga nakutumbua bila kuangalia kabila, anayekosea nitamuo...
Comments