Posts

LUGHA 5 ZA MAWASILIANO KATIKA MAHUSIANO (THE FIVE LOVE LANGUAGES)

Image
Katika utafiti uliofanywa na Gary Chapman katika kitabu chake cha       THE FIVE LOVE LANGUAGESii cha mwaka (1995)      Anaeleza kuwa....  Katika maisha ya mahusiano, kila binadamu ana lugha yake ya mawasiliano katika mahusiano.           Unagundua lugha ya mpenzi wako katika mahusiano kupitia kujua ni vitu gani au mambo gani anapenda kufanya kwako, na yeye anafurahia ikiwa utamfanyia.... Zifuatazo ni lugha 5 za mawasiliano katika mahusiano zilizofanyiwa utafiti na (Gary Chapman).... 1️⃣ Lugha ya maneno ya hamasa au uthibitisho.    〰️ Katika mahusiano kuna aina ya mtu anaetumia lugha hii ya mawasiliano katika mahusiano yake.Yeye hutoa maneno ya hamasa na hupenda kupokea maneno ya hamasa pia. Anapenda kusikia maneno ya shukrani, kupongezwa, kujali na kusifiwa ikiwa amefanya jambo fulani katika maisha yake. Aina hii ya mtu asipopata neno la hamasa au uthibitisho kutoka kwako basi ataliomba yeye mwenyewe ili alisik...

Kongamano Kongamano Kongamano

Image
Chuo kikuu Cha Mtakatifu Augostino kilichopo malimbe jijini Mwanza kinawatangazia wanafunzi wake kuwa kutakuwa na kongamano la mafunzo juu ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa wanafunzi wote wa elimu ya juu chuoni hapo siku ya Jumanne tarehe 8/11/2022 kuanzia saa 2:00 asubuhi katika ukumbi wa M15.          Kongamano hilo limebebwa na kauli                 mbiu isemayo "Matumizi Salama ya Mitandao na Maisha Mapya ya Wanafunzi SAUT” Kongamano hilo limeandaliwa na Tanzania Communications Regulatory Authority (TCRA) wakishirikiana na uongozi Saint Augustine University of Tanzania(SAUT-Mwanza).  Kongamano hili ni maalum kwa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hususani mwaka wa kwanza ambao ndiyo wanaanza safari yao ya masomo ya Shahada mbalimbali za Elimu ya Juu.   

BEI YA MAFUTA YAENDELEA KUSHUKA ZAIDI TANZANIA...

Image
TAZAMA BEI MPYA HAPA  Tuesday, November 01, 2022  Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini, bezi hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Novemba 02, 2022 saa 6:01 usiku. EWURA NA RAFAEL MASAU

Fahamu umuhimu wa uwepo wa mitandao ya kijamii na kusudi la maadhimisho yake kila ifikapo Juni 30.

Image
Mitandao ya kijamii Pamoja na kuunganisha watu duniani kote, Mitandao imetoa fursa kwa watu kutengeneza kipato.  Siku ya Mitandao ya Kijamii inaadhimishwa kusherehekea mahusiano ambayo watu wamejenga kupitia Mitandao mbalimbali. Uwepo wa Mitandao ya Kijamii umesaidia upatikanaji wa Taarifa, umetoa fursa kwa sauti za Wananchi kusikika na kuchochea Serikali duniani kote kutatua changamoto za Raia haraka zaidi. Mitandao ina nguvu kubwa ya kuleta mabadiliko ikitumika vizuri. Je, unatumiaje nafasi yako katika Mitandao ya Kijamii? ULINZI WA FARAGHA KATIKA MITANDAO YA KIJAMII Ili kujilinda unapotumia Mitandao mbalimbali ya Kijamii, inashauriwa; 1) Kuwa Makini na Taarifa zako binafsi: Ni muhimu kutoweka kila kitu Mitandaoni kwani baadhi ya taarifa zako zinaweza kutumiwa vibaya na kuleta madhara 2) Epuka kuweka kila kitu Mitandaoni: Kufanya hivi kunaweza kuweka Taarifa zako, angalia 'Privacy Setting' kujua namna unaweza kujiongezea usalama 3) Nenosiri (Password) Imara: Kuwa na Nenosiri ...

Rais azindua Shamba la bangi la Mamilioni

Image
Rais Emerson Mnangagwa katikati akiwa amezungukwa na jopo la Madaktari nchini Zimbabwe Rais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezindua shamba la bangi kwa ajili ya dawa lenye thamani ya dola za kimarekani milioni 27. Shamba hilo limewekewa kiwanda cha kisasa cha usindikaji ambacho bangi yake itatumika kama suluhisho la matibabu ya kibaolojia na bidhaa za dawa katika soko la ndani na la kimataifa. Mradi huu ni kwa ushirikiano na Serikali ya Uswizi kupitia kiwanda cha Swiss Bioceuticals na Serikali ya Zimbabwe. Rais Mnagangwa amesema kuwa ushirikiano huo unaonyesha imani ya Uswizi katika kuwekeza ndani ya uchumi wa Zimbabwe huku akisema kuwa taifa hilo la Ulaya tayari limeshirikiana na Zimbambwe katika miradi mingine kama vile viwanda, usindikaji wa chakula na ujenzi wa taasisi mbalimbali. Imeandaliwa na Rafael Masau

Aliyewatumia wanafunzi kuchimba kaburi akamatwa.

Image
Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa, linamshikilia mtu mmoja Tanda Thadeo (30),mkazi wa kitongoji cha Kasisiwe kilichopo manispaa ya Sumbawanga kwa tuhuma za kuwatumia wanafunzi kushiriki zoezi la kufukua kaburi la mtoto ili afufuliwe. Kamanda wa Polisi Mkoani humo, ACP Theopita Mallya amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na kusema kuwa mtuhumiwa Thadeo anashikiliwa kwa tuhuma za kuwatumia wanafunzi hao wa Darasa la sita katika Shule ya Msingi Kasisiwe iliyopo Manispaa ya Sumbawanga, kwa kuwaahidi ya malipo ya shilingi elfu kumi. “Mtuhumiwa alifanya tukio hilo ikidaiwa kuwa wanataka kumfufua mwanae na watoto waliofanya kazi hii walipewa ahadi ya malipo ya shilingi elfu kumi,” amesema Kamanda Mallya. Mtoto huyo Martine Tanda (2) anayedaiwa kutaka kufufuliwa alifariki na kuzikwa Juni 17, 2022 katika makaburi ya kitongoji cha Kasisiwe kilichopo Mkoani Rukwa Aidha kwa upande wake Kamanda wa Jeshi la Polisi wilaya ya Sumbawanga, Marry Kway naye alishiriki katika kutoa somo la ukatili wa kijinsia n...

Ardhi ni Mali ya Nani? Prof. Issa Shivji amwandikia Rais Samia

Image
Prof. Issa Shivji Kufuatia suala la wamasai kuhamishwa katika eneo la hifadhi ya ngorongoro Prof. Issa Shivji amemuandikia Rais Samia barua ya Wazi huku akieleza na kufafanua Sheria ya Ardhi.  Pia amehitimisha kwa kusema Watu wa Ngorongoro na Loliondo hawawezi kuhamishwa bila kufuata taratibu za Kisheria na kwa sababu Mahususi itakayo wekwa wazi na Kujadiliwa.  "Bila uhuru hakuna maendeleo. Bila maendeleo hakuna uhuru. Maendeleo ya kulazimishwa ni udikteta. Maendeleo ya hiari ni demokrasia." Prof. Issa Shivji  Written by Rafael Masau

Huu hapa mwongozo wa Ligi msimu ujao 2022/2023.

Image
Itazame Kalenda ya Matukio na mwongozo mzima wa Ligi Tanzania bara kwa msimu wa 2022/2023.  

The Ugandan Mixed School Where Boys Wear 'Skirts'

Image
The school principal has however come out to clear the air around the conversation, saying that people are misapprehending the concept behind their school attire. He said that the skirt-like attire is actually a kilt, a traditional attire worn by Scottish men. The school principal has however come out to clear the air around the conversation, saying that people are misapprehending the concept behind their school attire. He said that the skirt-like attire is actually a kilt, a traditional attire worn by Scottish men. The appearance of male students at a school in Uganda wearing "skirts" as part of the required attire sparked discussions on social media. People have been wondering why male students at Nyakasura School, a mixed boarding and day high school in Uganda's Western region, are wearing'skirts,' against the norm.  The school principal, on the other hand, has come out to clear the air, claiming that people are misinterpreting the concept behind their school u...

Ligi kuu Tanzania bara

Image
Rasmi pazia la ligi kuu Tanzania bara linafungwa leo, takribani michezo nane kupigwa kwa pamoja jioni ya leo. Ni timu gani unahisi itaifuata Mbeya Kwanza Championship?